stephanomango.blogspot.com
Pages - Menu
(Move to ...)
Home
MICHEZO
▼
Saturday, July 9, 2011
Mkuu wa Gereza la Mahabusu Songea ASP.Dr.Shija wapili kulia waliokaa akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi waandamizi wa Gereza hilo na Askari waliopandishwa vyeo kwa ufanyaji kazi mzuri na kwa bidii
Mkuu wa Gereza la Mahabusu Songea ASP.DR Shija akimvisha cheo cha Sajenti kwa Niaba ya Kamishina Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini Askari Denis Mango kwenye halfa iliyofanyika kwenye viwanja vya Magereza mjini hapa ambapo Askari 9 walipandishwa vyeo kwa kufanya kazi kwa bidii na maarifa
‹
›
Home
View web version