Pages - Menu

Sunday, December 18, 2011

GARI DOGO LAPATA AJARI ENEO LA KWA SWAI MAHENGE KATA YA MJINI MANISPAA YA SONGEA

 Gari likiwa mtaroni baada ya kuanguka kutokana na kugongana na pikipiki jana jioni ambapo dereva wa pikipiki ameumia vibaya sana

Mashuhuda wa ajari hiyo wakiendelea kusikitika eneo la tukio