Wasaidizi wa Chifu wa Kabila la Kingoni (Mjukuu wa Nduna Songea Mbano na Gama) wakitoa dua zao kwa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Ruvuma na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhandisi Stella Manyanya ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ushauri ya Makumbusho ya Taifa ya Majimaji alipotembelea Makumbusho ya Taifa ya Majimaji Songea kabla ya kuanza ziara yake ya siku tano mkoani Ruvuma |
No comments:
Post a Comment