Pages - Menu

Thursday, December 22, 2011

KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI WA HALMASHAURI YA SONGEA CHAANZA ASUBUHI HII KATIKA JENGO LA MAENDELEO

 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Beatrice Msomisi akiwasalimia wajumbe wa Baraza la Madiwani
 Kutoka kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Peramiho Jenista Mhagama,Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Beatrice Msomisi,Mwenyekiti wa Halmashauri ya Songea Rajabu Mtiula,Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Andrwe Mhagama
 Madiwani wa Halmashauri ya Songea wakiendelea na kikao chao kilichofanyika kwenye ukumbi wa jengo la Maendeleo(Mnara wa saa)
Wataalamu na wakuu wa idara mbalimbali wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea wakisikiliza kwa umakini hoja mbalimbali zinazoendelea kuwasilishwa kwenye kikao hicho

No comments:

Post a Comment