Wakina Mama wajasiliamali katika Kata ya Mshangano Manispaa ya Songea wakiuza mazao ya mbogamboga chini katika Soko la Mshangano ambapo wamekuwa wakitozwa ushuru wa kati ya Shilingi 200 na 500 kwa siku kutokana na biashara hiyo,licha ya kuwa ni hatari kwa afya za watumiaji,imekuwa ikishangaza kuona Manispaa inachukua ushuru bila kujali kutengeneza miundombinu stahiki katika soko hilo jambo ambalo linatafsirika kama ni kuwadhulumu wakina mama hao miaka 50 ya uhuru(Picha na Stephano Mango) |
Wednesday, August 24, 2011
Subscribe to:
Posts (Atom)