About


Karibu ujiunge na chuo cha kisasa cha Easy Tech.Computer kwa mafanikio yako,Walimu waliobobea katika fani hiyo wanapatikana chuoni hapo

elimak

elimak

Pages - Menu

Saturday, July 9, 2011

Mkuu wa Gereza la Mahabusu Songea ASP.DR Shija akimvisha cheo cha Sajenti kwa Niaba ya Kamishina Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini Askari Denis Mango kwenye halfa iliyofanyika kwenye viwanja vya Magereza mjini hapa ambapo Askari 9 walipandishwa vyeo kwa kufanya kazi kwa bidii na maarifa

No comments:

Post a Comment