About


Karibu ujiunge na chuo cha kisasa cha Easy Tech.Computer kwa mafanikio yako,Walimu waliobobea katika fani hiyo wanapatikana chuoni hapo

elimak

elimak

Pages - Menu

Tuesday, June 5, 2012

SANGA ONE AFANYA BIRTHDAY YA KUTIMIZA MIAKA 48 KWENYE HOTEL YA KIFAHALI YA TOP ONE INN

 Diwani Mstaafu wa Kata ya Bombambili Golden Sanga ,Maarufu kwa jina la Sanga One akiwa na Mwandishi wa Habari Mkongwe Gidion Mwakanosya wakiwa wakiwa wanakagua eneo ambalo sherehe ya Birthday itafanyika
Diwani Mstaafu wa Kata ya Bombambili Golden Sanga ,Maarufu kwa jina la Sanga One akiangalia mchezo wa Draft ambao ulichezwa kwa ajili ya kufurahia kutimizwa kwa miaka hiyo 48 ambapo pamoja na mambo mengine pia zawadi mbalimbali zilitolewa kwa mshindi wa kwanza hadi wa tatu

1 comment:

  1. Nachukua fursa kwa kukutakia kheri sana kwa siku hii tukufu. HONGERA SANA KWA KUTIMIZA MIAKA 48. UWE NA SIKU NJEMA SANA. NA MUNGU AKULINDE UTIMIZE MIAKA MINGINE ZAIDI YA 48...

    ReplyDelete