About


Karibu ujiunge na chuo cha kisasa cha Easy Tech.Computer kwa mafanikio yako,Walimu waliobobea katika fani hiyo wanapatikana chuoni hapo

elimak

elimak

Pages - Menu

Monday, August 15, 2011

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dkt Christine Ishengoma akimpongeza Mmiliki wa Blog hii Ndugu Stephano Theofrida Mango mara baada ya kupewa Tuzo ya Mwanahabari bora wa Utalii na Maliasili Tanzania katika sherehe za kitaifa za Tamasha la Kumbukizi la Kihistoria la MASHUJAA wa vita vya MAJIMAJI Februari 27,2011na Waziri wa Maliasili na Utalii Ezekiel Maige katika viwanja vya Mashujaa Mjini Songea

Kutoka kushoto ni Diwani wa kata ya Seedfarm Chistiani Matembo,Mkuu wa Wilaya ya Songea Thomas Oley Sabaya,Katibu wa CCM mkoa wa Ruvuma Emmenual Mteming'ombe,Chifu wa Wangoni Emmanuel Zullu, Aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt Ladislaus Komba

No comments:

Post a Comment