About


Karibu ujiunge na chuo cha kisasa cha Easy Tech.Computer kwa mafanikio yako,Walimu waliobobea katika fani hiyo wanapatikana chuoni hapo

elimak

elimak

Pages - Menu

Monday, June 4, 2012

NAPE NNAUYE AFANYA MAKAMUZI MAKUBWA KATIKA UWANJA WA MAJIMAJI JANAMsafara wa pikipiki ukiongoza msafara wa  Nape kwenda Uwanja wa Maji Maji ambako alizungumza mambo mbalimbali yenye kuleta mustakabali mzuri wa CCM na Serikali.
Nape akishiriki kucheza ngoma baada ya kuwasili Uwanja wa MajiMaji .
Nape akisalimiana na wakazi wa mji wa Songea waliojitokeza katika viwanja vya majimaji kuja kumsikiliza katika mkutano wa hadhara pindi alipokuwa akiiingia kiwanjani.

Nape akipita kwenye kanga zilizotandikwa na kina mama waliovutiwa na hotuba yakeNape akiagana na wananchi wa Songea waliojitokeza kwa wingi katika uwanja wa majimaji kuja kumsikiliza.
Nape akisisitiza jambo alipokuwa akihutubia mamia ya wakazi wa songea walipojitokeza kuja kumsikiliza katika uwanja wa majimaji.

No comments:

Post a Comment