About


Karibu ujiunge na chuo cha kisasa cha Easy Tech.Computer kwa mafanikio yako,Walimu waliobobea katika fani hiyo wanapatikana chuoni hapo

elimak

elimak

Pages - Menu

Monday, July 23, 2012

MAVETERANI WA SIMBA WACHAPWA BAO MOJA NA MAVETERANI WA YANGA

 Maveterani wa Yanga wakiwa katika uwanja wa mazoezi ili kuweza kujiweka sawa katika mechi na Maveterani wa Simba

Mechi ambayo ilimalizika kwa kuichapa Simba bao 1 katika dakika ya 13 ya kipindi cha pili na mchezaji Kelvin Haule Wachezaji wa Maveterani wa SIMBA wakifanya mazoezi ili kuweza kuleta upinzani wa dhati katika mechi yake na YANGA
                     Mdhamini wa Mechi hiyo Golden Sanga (Sanga Transport) ambaye ni VETERANI WA YANGA
 Mdhamini wa Mechi hiyo Paskary Msigwa (Top One Inn) ambaye ni VETERANI WA SIMBA
 Mohamend Mchele (kushoto) akiwa na watazamaji wengine katika mechi hiyo
 wa kwanza toka kushoto ni Godfey Mvula, Peter Mhina na Amasha wakiwa na watazamaji wengine
 Washabiki wa Simba wakionyesha manjonjo yao katika uwanja wa Sokoine ambao mechi hiyo ilikuwa inachezwa jana
 Wachezaji wa Yanga Gerson Msigwa na Kabisama wakishusha pumzi wakati wa mapumziko
Methew Msigwa akiwa na wachezaji wenzake wakitafakari namna ya kuwafunga wapinzani wao wakati wa mapumziko ya kipindi cha kwanza

No comments:

Post a Comment