About


Karibu ujiunge na chuo cha kisasa cha Easy Tech.Computer kwa mafanikio yako,Walimu waliobobea katika fani hiyo wanapatikana chuoni hapo

elimak

elimak

Pages - Menu

Sunday, January 2, 2011

MASHUJAA WA VITA VYA MAJIMAJI WAKINYONGWA

Viongozi wa Kabila la Wangoni na Askari Waliokuwa Mstari wa mbele katika mapigano ya vita vya Majimaji Wakinyongwa Tarehe 27/02/1906 na Jumla  yao walionyongwa walikuwa 67  ambapo 66 walizikwa kwenye Kaburi moja ambalo walilichimba wenyewe bila kujua kuwa watakuja kuzikwa wenyewe na Mwingine ambaye ni Nduna Songea Mbano alizikwa kwenye Kaburi la Peke yake.

2 comments:

  1. Picha hii ipo jumba la makumbusho ya taifa? inapaswa kuwapo

    ReplyDelete
    Replies
    1. IPO KWENYE MAKUMBUSHO, NA INAPASWA KUWEPO

      Delete