About


Karibu ujiunge na chuo cha kisasa cha Easy Tech.Computer kwa mafanikio yako,Walimu waliobobea katika fani hiyo wanapatikana chuoni hapo

elimak

elimak

Pages - Menu

Wednesday, December 7, 2011

REGINA MTEMA ATEMA CHECHE SONGEA KUHUSU MUSWADA WA KATIBA MPYA


 Mbunge wa Viti Maalum (Chadema) Regina Mtema akizungumza na Viongozi wa Chama hicho Mkoa wa Ruvuma na Wanachama wa chama hicho kuhusu mapungufu yaliyopo kwenye Muswada wa katiba mpya kwenye ukumbi wa Kanisa Katoliki wa Bombambili Mjini Songea
 Katibu wa Chadema Jimbo la Kawe Powel Mfinanga akieleza mapendekezo ya Kamati kuu ya Chama hicho yaliyopelekwa kwa Rais Jakaya Kikwete kumtaka asiweke saini Muswada wa Katiba mpya kwenye mkutano huo
 Viongozi wa Chama hicho mkoa wa Ruvuma wakisikiliza kwa umakini ufafanuzi uliokuwa unatolewa na viongozi wa ngazi za juu wa chama hicho
 Wanachama wa Chadema wakiendelea kusikiliza mjadala wa Muswada wa Katiba mpya

               Waandishi wa Habari wakifuatilia mjadala huo

No comments:

Post a Comment