About


Karibu ujiunge na chuo cha kisasa cha Easy Tech.Computer kwa mafanikio yako,Walimu waliobobea katika fani hiyo wanapatikana chuoni hapo

elimak

elimak

Pages - Menu

Tuesday, December 27, 2011

WADAU WA MTANDAO HUU WAMWEMELEKA KWENYE KUMBUKIZI ZA KUZALIWA KWA MDAU MWENZAO WA MTANDAO EMMANUEL NTOBI

 Keki iliyotengenezwa kwa ubora wenye viwango stahiki maalumu kwa kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwa Emmanuel Ntobi

Emmanue Ntobi akijiandaa kuwasha baruti huku akishuhudiwa na Mpenzi wake Bi Sarah Mohamed
 Emmanuel Ntobi akimrisha keki ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwake mpenzi wake Bi, Sarah Mohamed
 Emmanuel Ntobi akimrisha keki Mr Ng'aida kwenye sherehe hiyo

 Mdau wa Mtandao huu Stephano Mango akipata keki tamu iliyoandaliwa kwa ajili ya kumbukizi ya kuzaliwa kwa Emmanuel Ntobi wakati wa sherehe hiyo ya aina yake iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Benki ya biashara ya NBC juzi usiku muda mfupi kabla Bwana wetu yesu Kristu ajazaliwa ndio maana Ntobi Emmanuel alibatizwa jina hilo likiwa na maana ya Bwana pamoja nasi 


Wadau mbalimbali wakiendelea kupata chakula na vinywaji vya aina mbalimbali kwenye sherehe hiyo iliyofana

No comments:

Post a Comment