About


Karibu ujiunge na chuo cha kisasa cha Easy Tech.Computer kwa mafanikio yako,Walimu waliobobea katika fani hiyo wanapatikana chuoni hapo

elimak

elimak

Pages - Menu

Thursday, December 29, 2011

MTANDAO WA SONNGO WAWAKUTANISHA WANANCHI WA KADA TOFAUTI KATIKA MDAHALO WA KUJADILI KATIBA YA MWAKA 1977


 Mwenyekiti wa Mtandao wa Asasi zisizo za Kiserikali Wilaya ya Songea Siwaji Gama akifungua mdahalo,wa kwanza kushoto ni Afisa Habari wa Sonngo Endrwe Chatwanga,wa kwanza kulia ni Boniface Bundala, wa pili kulia ni Katibu wa Sonngo Mathew Ngarimanayo
 Washiriki wa mdahalo huo wakiendelea kusikiliza hoja mbalimbali zinazoendelea kuwasilishwa na jopo la wataalamu wa sheria na katiba
 Waandishi wa Habari wakisikiliza majadiliano katika mdahalo huo,kutoka kushoto ni Catherine Nyoni (Tbc) Amon Mtega(Mtanzania) Gideon Mwakanosya(Nipashe) Joseph Mwambije(Majira)

Washiriki wakisikiliza kwa umakini mapitio na uchambuzi wa wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 Jimbo la Songea Mjini

No comments:

Post a Comment