| Mbunge wa Jimbo la Mbinga Magharibi Kapteni John Komba akimkabidhi Chogo Wachogo sare 3 za waamuzi wa Mashindano ya Kapteni Cup ambayo yanashirikisha timu 10 za Kata ya Lituhi |
| Kiongozi wa Timu ya Polisi Fc akikabidhiwa jezi kwa ajiri ya mashindano hayo |
| Kiongozi wa Timu ya Shujaa Fc akikabidhiwa jezi |
| Viongozi wa Timu mbalimbali shiriki katika mashindano hayo wakikabidhiwa jezi za mashindano na Mbunge wa Jimbo la Mbinga Magharibi Kapteni John Komba |
No comments:
Post a Comment