About


Karibu ujiunge na chuo cha kisasa cha Easy Tech.Computer kwa mafanikio yako,Walimu waliobobea katika fani hiyo wanapatikana chuoni hapo

elimak

elimak

Pages - Menu

Saturday, March 10, 2012

RC MANYANYA ASHUSHA PRESHA YA WANANCHI WA MDUNDUALO KUHUSU MAENEO YAO KUCHUKULIWA NA WACHIMBAJI WA MAKAA YA MAWE NGAKA WILAYANI MBINGA

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhandisi Stella Manyanya ambaye pia ni Mbunge wa Vitimaalu Mkoa wa Ruvuma akizungumza na wananchi wanaozunguka mgodi wa makaa ya mawe ya Ngaka Wilayani Mbinga kuhusu mgogoro wa wananchi na wawekezaji katika mgodi huo

Wananchi wanaozunguka mgodi wa uchimaji wa makaa ya mawe wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Rukwa na Mbunge wa Vitimaalum Mkoa wa Ruvuma Mhandisi Stella ManyanyaNo comments:

Post a Comment