About


Karibu ujiunge na chuo cha kisasa cha Easy Tech.Computer kwa mafanikio yako,Walimu waliobobea katika fani hiyo wanapatikana chuoni hapo

elimak

elimak

Pages - Menu

Sunday, October 23, 2011

KIJANA ASIYEFAHAMIKA JINA LAKE AKUTWA AMEKUFA BAADA YA KUCHOMWA MOTO NA WATU WASIOFAHAMIKA KATIKA UWANJA WA BOMBAMBILI USIKU WA KUAMKIA LEO

 Mwili wa Marehemu ukiwa kwenye gari la Polisi nje ya Chumba cha kuhifadhia Maiti katika Hospital ya Mkoa Songea Mwili wa Marehemu ukishushwa kwenye gari la Polisi ukiingizwa kwenye chumba cha kuhifadhi Maiti katika Hospital ya Mkoa wa Songea
 Mwili wa Marehemu ukiingizwa kwenye chumba cha kuhifadhia Maiti kwa ajili ya kukamilisha taratibu kabla ya mazishi
Watu waliojitokeza kwenye chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospital ya Mkoa Songea wakiwa na nyuso za huzuni baada ya kuuona mwili wa marehemu
Mtandao huu wa www.stephanomango.blogspot.com una laani vikali vitendo vya kujichukulia sheria mikononi kwa kuondoa haki muhimu ya binadamu ya kuishi kwani tunapaswa kutambua kuwa mwenye mamlaka ya kuondoa uhai wa binadamu ni Mwenyezi Mungu pekee,Binadamu tusinyang'anye mamlaka ya Mwenyezi Mungu

Matukio hayo yameanza kushamiri mkoani Ruvuma ambapo sababu zinazotajwa hazifanani na adhabu zinazotolewa kwa mkosaji kwani anapouawa hawezi kujilekebisha kwani tunaamini kuwa lengo la kuwepo kwa adhabu ni kumrekebisha mkosaji

No comments:

Post a Comment