About


Karibu ujiunge na chuo cha kisasa cha Easy Tech.Computer kwa mafanikio yako,Walimu waliobobea katika fani hiyo wanapatikana chuoni hapo

elimak

elimak

Pages - Menu

Friday, October 28, 2011

MHANDISI STELLA MANYANYA AKAMILISHA ZIARA WILAYA YA TUNDURU NA SONGEA VIJIJINI KWA CHEREKOCHEREKO

 Mhandisi Stella Manyanya(Mb) na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa akisaini kitabu cha wageni cha chama na Serikali Wilayani Tunduru alipowasili Wilayani humo kwa ziara ya siku moja Mhandisi Stella Manyanya(Mb) na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa akisaini kitabu cha wageni cha Chama cha CCM  Wilaya ya Songea Vijijini alipotembelea ofisi ya chama hicho kabla ya kuanza ziara ya siku moja wilayani humo
 Viongozi wa CCM Wilaya ya Songea Vijijini wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mhandisi Stella Manyanya(Mb) na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa

 Wananchi wa kata ya Mtyangimbole ndivyo walivyokuwa wanampokea Mhandisi Stella Manyanya(Mb) na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa alipofanya ziara leo Songea Vijijini
Viongozi wa CCM Wilaya ya Songea Vijijini wakiagana na Mhandisi Stella Manyanya(Mb) na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa katika ofisi za BetterLife Tanzania tawi la Ruvuma

No comments:

Post a Comment