About


Karibu ujiunge na chuo cha kisasa cha Easy Tech.Computer kwa mafanikio yako,Walimu waliobobea katika fani hiyo wanapatikana chuoni hapo

elimak

elimak

Pages - Menu

Thursday, December 29, 2011

MDAHALO WA KATIBA WAENDELEA

 Afisa Kazi Mkoa wa Ruvuma Oddo Egino Hekela akizungumzia mapitio ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2005 wakati wa mdahalo
 Hakimu Mkazi Elizabeth Misano akizungumza wakati wa mdahalo
 Mwenyekiti wa Mtandao wa Sonngo Siwajibu Gama akifafanua hoja mbalimbali katika mdahalo

Washiriki wa mdahalo huo wakiendelea kusikiliza hoja mbalimbali katika mdahalo huo uliofanyika jana kwenye ukumbi wa mikutano wa kanisa la Bombambili

No comments:

Post a Comment