About


Karibu ujiunge na chuo cha kisasa cha Easy Tech.Computer kwa mafanikio yako,Walimu waliobobea katika fani hiyo wanapatikana chuoni hapo

elimak

elimak

Pages - Menu

Friday, December 30, 2011

SONNGO WAMALIZA MDAHALO JIMBO LA SONGEA NA JIMBO LA PERAMIHO KWA MAFANIKIO MAKUBWA

 Mbunge wa Jimbo la Peramiho Jenista Mhagama akiwasalimia wananchi walioshiriki mdahalo wa wazi wa Katiba ya mwaka 1977,kushoto ni Katibu wa mtandao wa Sonngo Mathew Ngarimanayo,kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa mtandao wa Sonngo Siwaji Gama,Makani Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Andrwe Mbawala
 Viongozi wa ngazi mbalimbali katika Serikali,Siasa ,Asasi za Kiraia wakiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki wa mdahalo ulioendeshwa na Mtandao wa Asasi za Kiraia Wilaya ya Songea kwa ufadhiri wa The Foundation For Civil Society uliofanyika kwenye ukumbi wa Trade Jimbo la Peramiho Mwanaharakati Juma Nyumayo akisalimiana na Mwanaharakati mwenzake Fatuma Misango nje ya ukumbi wa Trade baada ya kumalizika kwa mdahalo wa Katiba ya Tanzania ya mwaka 1977
 Mbunge wa Jimbo la Peramiho Jenista Mhagama wa pili kutoka kulia akiwa na wapiga kura wake baada ya kumalizika kwa mdahalo katika jimbo hilo
Mwandishi wa Habari wa TBC Catherine Nyoni akiwa na Kaimu Afisa Mtendaji wa Kata ya Maposeni ambaye pia ni Afisa Kilimo wa Kata hiyo Esta Mango mara baada ya kumaliza mdahalo

No comments:

Post a Comment