Kutoka kushoto ni Katibu wa UWT Mkoa wa Ruvuma Mariam Yusuph, Afisa Habari Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Hamza Temba, Mwanaharakati wa TGNP Kanda ya Kusini na Mhariri Msaidizi wa Tujifunze Kanda ya Kusini Juma Nyumayo, Mbunge wa Vitimaalum Mkoa wa Ruvuma, Mnec na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhandisi Stella Manyanya, Mwanaharakati wa TGNP Kanda ya Kusini, Mwandishi wa Star Tv/ Redio Free na Mwenyekiti wa Kamati ya Ujenzi wa jengo la Polisi wanawake mkoa wa Ruvuma Adam Nindi, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Fadhiri Chacha
Kutoka kulia ni Mwenyekiti wa UWT mkoa wa Ruvuma Kuruthum Mhagama, Katibu wa UWT Mkoa wa Ruvuma Mariam Yusuph, Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Mnec na Mbunge wa Vitimaalum Mkoa wa Ruvuma Mhandisi Stella Manyanya akiwa na wajumbe wengine wa Baraza la Uwt mkoa wa Ruvuma wakitembelea jengo maalum la kusikiliza matatizo ya wanawake (Dawati la Jinsia) lilopo karibu na kituo kikuu cha Polisi Mjini Songea
Mwanaharakati wa TGNP Kanda ya Kusini na Mhariri Msaidizi wa Tujifunze Kanda ya Kusini Juma Nyumayo akitoa maelezo ya awali ya jengo hilo kwa viongozi wa Jumuiya ya UWT Mkoa wa Ruvuma walipotembelea jengo hilo wakiongozwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Mnec na Mbunge wa Vitimaalum Mkoa wa Ruvuma Mhandisi Stella Manyanya
Mwanaharakati wa TGNP Kanda ya Kusini, Mwandishi wa Star Tv/ Redio Free na Mwenyekiti wa Kamati ya Ujenzi wa jengo la Polisi wanawake mkoa wa Ruvuma Adam Nindi akitoa maelezo ya ujenzi wa jengo hilo
Viongozi wa Jumuiya ya UWT Mkoa wa Ruvuma walipotembelea jengo hilo wakiongozwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Mnec na Mbunge wa Vitimaalum Mkoa wa Ruvuma Mhandisi Stella Manyanya wakisikiliza maelezo ya jengo hilo
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Mnec na Mbunge wa Vitimaalum Mkoa wa Ruvuma Mhandisi Stella Manyanya akizungumza kwa furaha baada ya kutembelea ujenzi wa jengo hilo ambalo linapaswa kuigwa na mikoa mingine ambapo aliahidi kutoa milioni 1 kuchangia ujenzi huo na kushauri kuwa mara litakapo kamilika licha ya kutoa ushauri wa kisheria, ujinsia pia kiwe kioo cha maendeleo kwa wanawake kwa kutumia sheria watakazojifunza kupitia dawati hilo
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Mnec na Mbunge wa Vitimaalum Mkoa wa Ruvuma Mhandisi Stella Manyanya akiondoka eneo hilo baada ya kukamilisha kazi yake ya kukagua jengo la dawati la jinsia(mtandao wa Polisi Wanawake)
No comments:
Post a Comment